# Taarifa kwa ujumla Neno sisi linamaanisha Luka, Paulo na wote waliosafiri pamoja naye. # Juliasi alimtendea Paulo kwa ukarimu Julias alimtendea vizuri Paulo # Akasafiri kuzunguka kisiwa cha Kipro ambacho kilikuwa kimeukinga upepo. Neno Kukinga linaweza kusemwa katika hali tendaji.