# Una wendawazimu "Unaongea upuuz"i au "umechanganyikiwa" # Mimi sio mwendawazimu "Mimi ni mzima" au "nina uwezo wa kufikiri vizuri" # Mtupu "uzito" au "kuhusu jambo lenye uzito" # Naongea kwa uhuru kwake Naongea kwa uhuru kwa Mfalme Agripa # Haikufanywa kwenye kona "Haikufanywa kwa siri"