# Wayahudi wote Inamaniisha 1)Mafarisayo walikua na Paulo na walimfahamu kama Mfarisayo au 2)"Paulo alijulikana sana kwa Wayahudi # Kwenye nchi yangu mwenyewe Ina maanisha 1) kwa watu wake mwenyewe sio lazima wawe kwenye eneo la Israeli au 2) kwenye ardhi ya Israeli.