# Sentensi unganishi Tertulo anamaliza kuwasilisha mashtaka ya Paulo kwa Gavana Feliki. # anamshitaki "kumshtaki Paulo kwa kufanya" au "kumshtaki Paulo kwa kuwa na hatia ya kufanya" # Wayahudi Hii inamaana ya viongozi wa Wayahudi waliokuwa pale katika kesi ya Paulo.