# Je, hii ni jinsi unavyo mtukana kuhani mkuu wa Mungu? wanaume walitumia swali hili kumkemea Paul kwa nini alisema. "Usimtusi Kuhani Mkuu wa Mungu! # Kwa maana imeandikwa Paul ananukuu mambo ambayo Musa aliandika katika sheria. Hii inaweza kuwa: "Kwa maana Musa aliandika katika sheria"