# Sentensi unganishi Paulo anaanza kwa kuwaambia umati wa watu kuhusu maono yake kwa Yesu. # ikatokea kwamba Kipengere hiki kinaweka alama ya kuonyesha kuanza kwa tukio. # Nilipewa maono Hii inaweza ikaanza: "nilikuwa na maono" au "Mungu alinipa maono" # Nilimwona akiniambia "Nilimwona Yesu akiniambia" # hawataukubali ushuhuda wako kunihusu mimi "Wale ambao wanaishi Yerusalemu hawataamini kile unachowaambia kunihusu mimi"