# Sentensi unganishi Paulo anazungumzia namna alivyoweza kukutana na Yesu. # Ikatokea ya kwamba Msemo huu umetumika hapa kama tukio la kwanza. Hapa Paulo anaelezea jinsi alivyokutana na Yesu. # nikasikia sauti ikiniambia Hapa "sauti" inasimama kwa mtu akizungumza. "Mimi nilisikia mtu akiniambia"