# Sentensi unganishi Paulo anazungumza na Wayahudi huko Yerusalemu. # Ndugu na baba zangu Hii ilikuwa ni njia ya kistaarabu ya kuzungumza na watu ambao walikuwa na umri sawa na wa Paulo, na wanaume wazee waliokuwa katika kusanyiko hilo. # Nitakao ufanya kwenu sasa "Nitakaoueleza kwenu" au "nitakao uwakilisha kwenu" # Lugha ya kihebrania "lugha ya Kihebrania ilikuwa lugha ya Wayahudi"