# aliukimbilia umati chini Kutoka ngome, kuna ngazi kwenda chini katika mahakama. # mkuu wa kikosi afisa wa kikosi cha kijeshi cha Rumi au kiongozi wa askari wapatao 600 # alimkamata Paulo "Akamshika Paulo" au "Paulo alishikiriwa" # akaamuru afungwe minyororo Aliwaagiza askari wake kumkamata na kumfunga. # kwa minyororo miwili Hii inamaanisha kuwa Paulo alifungwa na maaskari wawili kila mmoja upande wake mmoja. # Akamuuliza yeye ni nani na amefanya nini. Alimwuliza kuwa yeye ni nani?, Amefanya nini? # Akamuuliza yeye ni nani Mkuu wa ulinzi anazungumza na umati, hazungumzi na Paulo.