# Taarifa unganishi Paulo anazidi kuongea na wazee wa Efeso # Na sasa, tazama, najua "Na sasa, nisikilizeni kwa makini, kwasababu ninajua" # Mimi najua kuwa ninyi nyote Mimi najua kuwa ninyi kwa ujumla wenu wote. # miongoni mwao nilikwenda kuwahubiri kuhusu Ufalme kwenu ambao mimi niliwahubiria ujumbe kuhusu ufalme wa Mungu # hamtaniona uso wangu tena Neno 'uso' hapa inawakilisha mwili wa Paulo. # Mimi sina hatia katika damu ya mtu yoyote Siwezi kulaumiwa na mtu yeyote kuwa na hatia mbele za Mungu # mtu yeyote Hapa inamaanisha nafsi ya kila mmoja wao awe mwanaume au mwanamke. # Kwa maana sikujizuia kuwatangazia "kwamba sikukaa kimya bila kuwatangazia ujumbe wa kweli.