# Sentensi unganishi karani wa mji alimaliza kizungumza na umati # Kwa sababu hiyo Hili neno linaashiria kuwa Karani alisema kwa sababu ya kile ambacho alisema hapo awali. Karani wa mji alikuwa amesema, Gayo na Aristariko alikuwa walikuwa si wezi wala wenye kufuru. # wanamashitaka dhidi ya mtu yetote Nono "shitaka" na "tuhumu" ni vitendo dhidi ya wengine. # Liwali Huyu alikuwa ni gavana, mwakilishi wa mambo ya kisheria katika mahakama. # Acha washitakiane wao kwa wao Hili halimaanishi Demetrio na wale waliokuwa naye watashitakiana wao kwa wao. Hili lilikuwa eneo ambalo kila mtu alikuwa huru kutoa shitaka kwa mtu yeyote. # Lakini kama wewe ukitafuta chochote kuhusu mambo mengine "Lakini kama kuna matatizo vema kuongea" # yatashughurikiwa katika kikao halali. "Vema kujadili na kutatua tatizo kwa utaratibu wa kawaida" # katika hatari ya kutuhumiwa kuhusu ghasia siku hii. "Hii inaweza kusababisha hatari kwa mamlaka ya Rumi tukituhumiwa kuanzisha ghasia kama hii ya leo"