# Sentensi unganishi Paulo anazungumzia kuhusu uamuzi wake wa kwenda Yerusalemu, lakini hajaondoka Efeso bado # Paul anakamilisha huduma katika Efeso. Paul anakamilisha kazi ambayo Mungu alikuwa amemwagiza kuifanya katika Efeso. # Aliamua katika roho Inawezekana kuwa na maana ya 1) Paulo aliamua kwa msaada wa Roho Mtakatifu au 2) Paulo alikusudia kutokana na uamzi wa roho yake, ambayo inamaana alifanya uamzi wake. # Akaya Akaya ilikuwa Jimbo la Rumi mahali ambapo Korintho ilipokuwa. Ulikuwa ni mji kubwa kusini mwa Ugiriki na mji mkuu wa jimbo. # Mimi lazima pia nikaone Rumi Mimi lazima pia kusafiri kwenda Rumi # Lakini naye akabaki kwa muda huko Asia Ni kufanywa wazi kwa mistari michache inayofuatia kwamba Paulo alikuwa alibakia Efeso