# Kauli ya jumla maelezo ya fungu hili yanazungumzia habari za Tito Yusta na Krispas # Tito Yusto...Krispo Ni majina ya wanaume # alimwabudu Mungu Ni mwabudu Mungu wa kimataifa ambaye alimtukuza Mungu na kumfuata, lakini si kwa njia ya kushika sheria za Kiyahudi. # Kiongozi wa sinagogi ni mtu wa kawaida ambaye hufadhili na kuhudumia sinagogi, na si lazima awe mwalimu. # na watu wa nyumbani mwake "watu walioishi na yeye ikiwa ni pamoja na ndugu na jamaa zake" # Watu wengi wa Korintho walibatizwa "Watu wengi wa Korintho ambao siyo Wayahudi" walibatizwa