# Kwake "Kwa Mungu" # Tunaishi na Kutembea Paulo anajumuisha wasikilizaji wake na yeye mwenyewe. # tu wazaliwa wake Hapa 'tu wazaliwa wake' ni wazaliwa ambao wanaweza kuwa si watoto wa sasa. Wao kushiriki baadhi ya sifa pamoja na babu zao. 'Wake' ni kiwakilishi kisichojulikana katika nukuu hii. # kuwa uungu Hapa "uungu" inarejea hali ya Mungu au sifa zake.