# Sentensi unganishi "Hii ni mwisho wa hadithi ya Paulo na Sila kuwa gerezani" # Taarifa za ujumla Fungu hili linazungumzia habari a Paulo na Sila pamoja na Waumini wa mji wa Philipi. # Nyumba ya Lidia "nyumbani kwa Lidia" # walipowaona ndugu Neno "ndugu" linamaanisha waumini wa jinsi zote. Waliwaona waumini.