# mahakimu wakararua nguo zao na kuwavulia Mahakimu walirarua nguo za Paulo na Sila na kuwavulia" # na kuwaamuru wachapwe na viboka "Kumuamuru maaskari kumchapa Paulo na Sila kwa viboko" # waliwatupa "mahakimu waliwaweka Paulo na Sila" au " mahakimu waliwaamuru maasakari kumuweka Paulo na Sila" # na kumuamuru askari wa gereza kuwalinda vema Askari wa gereza ni mtu anayehusika na wafu wote waliowekwa jela au gerezani. "kumuambi mlinzi wa gereza ahakikishe kuwa hawatoki nje" # kuwafunga "kuwafungia imara katika sehemu" # nguzo ni kipande cha mti iliyo na matobo kwa ajili ya kuwekea miguu ya mtu ili imzuiye mtu huyo asiweze kwenda.