# Sentensi unganishi Msatri wa 13, ni mwanzo wa hadithi ya Lidia. Hii ni hadithi fupi iliyotokea wakati wa kusafiri kwa Paulo # tukaenda "tukaenda" hii inajumuisha Paulo pamoja na wale waliokuwa naye, hii ni pamoja na Luka ambaye ndiye muandishi wa kitabu cha Matendo ya Mitume. # Somathrake ...Neapoli Hizi ni miji ya mwambao karibu na Philipi. # Utawala wa Kirumi ni sehemu ambayo Warumi waliteka na kuishi kwa muda huo, hasa maaskari