# lakini watu fulani hapa Luka anatofautisha watu wanaoamini kuwa wokovu ni kwa Yesu pekee na wale wanaoamini kuwa wokovu ni kwa Yesu lakini pia wanaamini juu ya kutahiriwa kuwa ni muhimu kwa ajili ya wokovu # kutunza sheria ya Musa kutii sheria ya Musa