# Taarifa ya Jumla: Waliofika Antiokia na kutoa taarifa ni Paulo na Barnaba. Aliyefungua mlango ni Mungu. # kusanya kanisa pamoja "wakawaita waumini wa palepale kukusanyika pamoja" # alifungua mlango wa imani kwa Mataifa Mungu kuwawezesha Mataifa kuamini inazungumziwa kana kwambaaliwafungulia mlango uliokuwa unawazuia kuingia katika imani. "Mungu alifanye iwezekane kwa Mataifa kuamini"