# Karibu mji mzima "Mji" Ni neno linaliwakilisha watu wa mji huo. # kusikia neno la Mungu. "Kuwasikia Paulo na Barnaba wakinena neno la Bwana Yesu. # Wayahudi :Hawa ni Wayahudi Viongozi" # walijawa na wivu "Hali ya wivu ikawajia" # Wakaongea masneno ya kupinga "Maneno yaliyopinga ujumbe wao" # maneno yaliyopinga vitu vilivyosemwa na Paulo "Mambo yale yaliyosemwa na Paulo"