# Maelezo ya jumla Petro na Mitume na waumini ambao walikuwa pamoja na Yesu wakati akiwa hapa duniani. # Katika nchi za Wayahudi Inaelezea zaidi Yudea ya wakati huo. # ambaye waliyemuua "ambaye viongozi wa kiyahudi walimwua'' # Wakamtundika juu ya mti Inamaanisha, "kumuwamba Yesu katika mti wa msalaba" # Huyu mtu "Huyu mtu Yesu" # Mungu alimfufua "Mungu alimfanya kuishi tena" # siku ya tatu "Siku ya tatu baada ya kufa kwake" # kumpa kujulikana "alimpa kujulikana na wengi" # kutoka kwa wafu "Kutoka miongoni mwa waliokwisha kufa" Linafafanua juu ya roho za watu waliokwisha kufa. Kurejea kutoka miongoni mwa hizo roho ni kuwa mzima tena.