# Maelezo ya Jumla Hapa nukuu ya Stefano inatoka kwa Nabii Amosi # Walitengeneza ndama walitengeneza sanamu mfano wa ndama ili waiabudu. # ndama... hiyo sanamu kazi ya mikono yao Fungu lote hili linafafanua ndama yule aliyetengenezwa. # Mungu aligeuka Mungu aligeukia mbali kwa kuwa hakupendezwa na watu hao na kutokuwasaidia tena. Mungu aliacha kuwarekebisha. # Akawaacha "Akajiondoa kwao # waabudu nyota za angani, Inaweza kuwa; 1) Nyota pekee au 2) Jua, Mwezi na Nyota. # kwenye kitabu cha manabii Ni muunganiko wa maandiko kutoka Manabii wa Agano la Kale. # Je mnanitolea mimi sadaka za wanyama mliowachinja .....Israeli Mungu aliwauliza Waesraeli swali kuonyesha kuwa walikuwa hawamwabudu yeye wala kumtolea dhabihu zao. "Hamkuniheshimu mimi wakati mlipochinja wanyama wasiofaa na kutoa dhabihi .... Israeli". # Nyumba ya Israeli Hii ni ujumla wa Taifa la Israeli