# Musa alifundishwa "Wamisri walimfundisha Musa" # Mafundisho yote ya kimisri hii inaongezea ,"vitu vyote walivyovijua Wamisri." # alikuwa na nguvu katika maneno na matendo "alikuwa na uwezo katika maneno na matendo yake" # ikamjia katika moyo wake Musa alitafakari na kisha akaamua # kutembelea ndugu zake, Wana wa Israeli Kuona jinsi gani ndugu zake, wana wa Israeli wanaendeleaje. # Alipomwona Mwisraeli akitendewa mabaya Alipomwona Mmisri anamtesa mwisraeli, Musa alimtetea na akalipiza kisasi kwa kumpiga hadi kufa yule Mmisri. # Musa alifikiri " Musa alidhani kuwa, alichokifanya ndugu zake watajua kuwa ni Mungu anawapigania" # kwa mkono wake kupitia yeye Mungu alikuwa akiwaokoa ndugu zake.