# Yusufu akawatuma ndugu zake kwenda liwatuma ndugu zake kwenda Kanaani, nyumbani kwa kaka zake. # Yakobo akafa yeye na baba zetu, "Yakobo na ndugu zake, baba zetu" wote walikufa. # Wakachukuliwa hata Shekemu wakazikwa "Uzao wa Yakobo walimchukua na kwenda kumzika katika makaburi walikozikwa ndugu zake. # kwa vipande vya fedha "kwa fedha"