# Hotuba yao ikaupendeza mkutano wote Hotuba yao ilikubaliwa, pendekezo lilikubaliwa na jamii yote ya waumini. # Stefano...na Nikolao Haya ni majina ya kigiriki, na mapendekezo yalikuwa kwamba wanaume walioteuliwa walikuwa zaidi au wote kutoka kundi la waumini wa wayahudi wa kigiriki. # Mwongofu "Mtu wa mataifa aliyeamini dini ya kiyahudi" # Waliweka mikono yao juu yao Kuwapa baraka na kuwakabidhi wajibu na mamlaka kwa kazi ya watu saba