# Walishikwa na butwaa "walishtushwa" au "walichanganyikiwa" # Kuhusu wao "kuhusu maneno waliyokuwa wamesikia" (taarifa kwamba mitume hawakuwa katika gereza) # litakuwaje jambo hili Nini kimefanyika hata watu hawa kutoka nje alihali milango imefungwa na walinzi wakiwepo. # wamesimama hekaluni Mitume hawakuwa ndani ya hekalu wanamoruhusiwa kiungia makuhani tu, bali walikuwa wamesimama kwenye ukumbi wa nje wa hekalu.