# Sentensi unganishi Luka anaendelea kuwaambia wasomaji kile kilichotokea siku za mwanzoni mwa kanisa Yerusalemu. # Ishara nyingi na maajabu vilikuwa vinatokea miongoni mwa watu kupitia mikono ya mitume Miujiza na ajabu nyingi ilitendwa miongoni mwa watu kupitia mikono ya mitume. # ukumbi wa Sulemani. Hili lilikuwa ni eneo Njia ya kutembea lililokuwa limezungukwa na nguzo zilizojengwa kushikilia paa ambalo watu waliliita Mfalme Sulemani. # walipewa heshima ya juu na watu. Watu waliwaonyesha waumini heshima ya juu.