# Maelezo ya jumla Msitari wa 22 unatoa habari ya nyumba kuhusu umri wa mtu kiwete aliyeponywa. # Baada ya maonyo zaidi Wayahudi Viongozi waliwatishia Petro na Yohana kuwapa adhabu tena. # Hawakuweza kupata sababu yoyote ya kuwaadhibu Viongozi hawakuweza kupata kujua kwa namna gani wawaadhibu Petro na Yohana bila ya kusababisha vurugu miongoni mwa watu waliomwona mtu aliyeponywa. # kwa kile kilichokuwa kimetendeka Kwa kile Petro na Yohana walichokuwa wametenda # Mtu aliyekuwa amepokea muujiza wa uponyaji Mtu yule ambaye Petro na Yohana walikuwa wamemtendea muujiza wa uponyaji.