# Maelezo ya jumla Paulo anaendelea kuzungumzia Wayahudi Viongozi. # Wakati walipoona ujasiri wa Petro na Yohana Neno "Ujasiri" linaelezea njia ambayo Petro na Yohana wameitumia kujibu za viongozi Wayahudi. # wakagundua kwamba walikuwa ni watu wakawaida wasio na elimu Wayahudi viuongozi walitambua hivi kwasababu ya njia ambayo Petro na Yohana waliinena. # Walikuwa ni watu wa kawaida, wasio na elimu Neno "kawaida" na "wasio na Elimu" ni maneno yanayogawana maana moja. Petro na Yohana hawakupata mafunzo ya elimu katika sheria ya kiyahudi # mtu aliyeponywa Mtu ambaye alikuwa ameponya na Yesu kupitia Petro na Yohana # hawakuwa na kitu cha kusema dhidi ya hili. Hawakuwa na cha kusema dhidi ya Petro na Yohana juu ya kuponywa kwa huyo.