# Sentensi unganishi Petro na Yohana wanajibu swali wa viongozi bila ya kuwa na woga. # Maelezo ya jumla Neno "wao" linafafanua juu ya Wayahydi kwa ujumla wao. # Hata ilipofika asubuhi siku iliyofuata, kwamba Kipengere hiki kilitumika hapa kuonyesha tukio lilipoanzia. # wakuu wao, wazee na waandishi Hii ni rejea kwa Sanhendrini, mahakama ya wazee wa kiyahudi kilichounganisha makundi haya matatu ya wayahudi. # Yohana, na Alexander Wanaume hawa wawili walikuwa wajumbe wa familia ya Kuhani mkuu. Huyu siye yule Yohana Mtume. # Kwa nguvu gani "nani aliyewapa nguvu" au "kitu gani kiliwapa nguvu." Walijua Petro na Yohana wasingemponya mtu kwa nguvu zao wenyewe. # Kwa jina gani "ni nani aliyewapa mamlaka"