# Sentensi ungaishi: Petro anaendelea na hotuba yake kwa Wayahudi waliokuwa wamesimama kwenye eneo la hekalu. # Maelezo ya Jumla Katika mistari ya 22-23 Petro ananukuu mambo fulani Musa alisema mapema kuhusu Masihi. # mbingu lazima zipokee Ni mmoja ambaye mbingu lazima zimpokee. Petro anazungumza na mbingu kama anaongea na mtu aliyempokea Yesu nyumbani mwake. # mpaka wakati wa kurejeshwa kwa vitu vyote "hadi wakati ambao Mungu atarejesha vitu vyote" # ambavyo Mungu alizungumzia zamani za kale kwa vinywa vya manabii watakatifu "Mungu aliwaambia watakatifu wake manabii kuzungumzia habari zao" # manabii watakatifu ambao wamekuwapo tangu zamani za kale "manabii wake watakatifu ambao waliishi zamani sana" # atainua nabii "atateua mmoja kuwa nabii" # Itatokea kwamba kila mtu ambaye hasikilizi kwa nabii huyo ataangamizwa kabisa mtu asiyemsikiliza Nabii ambaye Mungu amemtuma atamwangamiza kabisa.