# Maelezo ya Jumla Neni "sisi" linaelezea wanafunzi na wale wotewaliokuwa mashahidi wa kufufuka kwa Yesu baada ya kifo chake. # Mungu alimfufua Neno "alimfufua" Linaelezea kuwa Mungu alimfufua Yesu kutoka kwa wafu. # akiwa ameinuliwa katika mkono wa kuume wa Mungu Mungu alimwinia Yesu juu katika mkono wake wa kuume. # yeye amemimina hii ahadi, Neno "mimina" lina maana Yesu ambaye ni Mungu amefanya tukio hili litokee la kumtoa Roho Mtakatifu kwa waumini.