# huu ni wakati wa utakaorudisha ufalme kwa Israeli "Sasa Utafanya Israeli taifa lenye nguvu tena?" # nyakati au majira "nyakati au tarehe" # mtapokea nguvu... na mtakuwa mashahidi wangu Mitume watapokea nguvuitakayowasaidia kumshuhudia Yesu. "Mungu atawatia nguvi... kuwa mashahidi wake. # hadi miisho ya nchi "kote duniani" au" mpaka sehemu za mbali sana za dunia"