# wewe umeyafuata mafundisho yangu " Lakini kwa wewe umekuwa makini katika kuyaangalia/kuyaenenda." # Mafundisho "Maelekezo" # Mwenendo mzuri. " Namna ya maisha" # Mateso ya mda "kuwa na uvumilivu na watu" # Uvumulivu Maana zake ni 1) "Nitaendelea kumtumikia Mungu hata katika hali ngumu ya kutoweza" au 2) " Nitaendelea kuenenda katika njia ya haki hata katika nyakati ngumu." # Walaghai/Watapeli "Watu ambao huwadanganya watu kuhusu wao wenyewe" au " Watu ambao hujiweka tofauti na uhalisia wa maisha yao ya kweli." # Na katika hayo yote Bwana akaniokoa Paulo anazungumzia namna ambavyo Bwana alimuokoa alipokuwa anateseka na hali ngumu na hatari. # kuishi katika maisha ya kumcha Mungu katika Kristo Yesu "kuishi maisha ya kumcha Mungu kama mfuasi wa Yesu" # watateswa "yawapaswa kuvumilia mateso" # watazidi kuwa waovu zaidi "watakuwa waovu zaidi" # Watawapotosha wengine "Watawasababisha watu wasimtii Kristo" # Wao wenyewe wamepotoshwa. "Na watu wengine wawasababisha wasimtii Kristo"