# Kuunganisha maelezo Paulo anatoa maelekezo Timothy juu ya jinsi ya kuishi kwa ajili ya Kristo, jinsi ya kuteseka kwa ajili ya Kristo, na jinsi ya kuwafundisha wengine kuishi kwa ajili ya Kristo. # kulingana na ujumbe wangu wa injili kama ujumbe wangu wa injili usemavyo # ambavyo mimi nateseka "kwa ambavyo mimi nateseka # hata kufungwa minyororo "Kufungwa" inamaanisha kuwa gerezani. # Neno la Mungu haliwezi kulifungwi minyororo "si vikwazo" au "si kufungwa" "ana uhuru kamili" # kwa wale ambao wamechaguliwa "kwa watua ambao Mungu amewachagua" # wapate wokovu "watapokea wokovu" # Utukufu wa milele "Wanamtukuza Mungu milele" au "akizungumzia watu kwa Mungu milele" # Toka kwa uzao wa Daudi "uzao" linamaanisha kizazi. "Ambao ni kizazi cha Daudi" # ambaye alifufuliwa kutoka kwa wafu "Ambaye Mungu alimfufua"