# Lakini Paulo anatumia neno hili kutofautisha kati ya wakristo wavivu na wachapakazi. # ninyi, ndugu Neno "niny" linamaanisha wakristo wote wa Thesalonike. # ndugu Neno "ndugu" hapa linamaanisha wakristo wenzangu, inajumuisha wanaume na wanawake. AT: "ndugu wa kiume na wakike" # msizimie roho "Kuzimia moyo" ni neno linalomaanisha kuchoka, au kukata tama." "msikate tamaa au "msichoke" # muwe makini naye Mmtambue kuwa ni nani.AT: "mmtambue mbele za watu" # ili kwamba aweze kuaibika Paulo anawaelekeza waumini kujihadhari nawaumini wavivu kama kitendo cha kuwaadibisha.