# baadhi wanaenenda paipo utaratibu Hapa "enenda" linasimama kwa kumaanishatabia katika maisha. AT: "baadhi wanaishi maisha ya "kubweteka" au "wengine ni wavivu" # lakini badala yake ni watu wanaoenenda pasipo utaratibu. Hawa nia watu wanaoingilia mambo ya wengine pasipo kuombwa kufanya hivyo. # kwa utulivu "katika utulivu, amani utulivu." Paulo anawaasa watu wazembe waiotaka kufanya kazi waache kuchunguza mambo ya wenzao."