# Sentensi Unganishi: Paulo anamaliza na baraka kutoka kwa Mungu. # Sasa Paulo anatumia neno hili kuonyesha badiliko la mada. # Bwana wetu ...aliyetupenda na kutupatia Neno hili "aliyetupenda" na "sisi" linajumisha waumini wote. # Bwana Yesu Kristo mwenyewe Neno "yeye mwenyewe" liongeza msisitizo kwa neno "Bwana Yesu Kristo." # awafariji na kuifanya imaramioyo yenu "mioyo" linamaanisha kwenye sehemu ya hisia. AT: "awafariji na kuwaimarisheni kwa"