# Sentence Unganishi Paulo sasa anabadilisha mada. # Maelezo ya Ujumla: Paulo anatoa shukrani kwa Mungu kwa ajili ya wakristo na anawatia moyo. # Lakini Paulo anatumia neno hili hapa kuanzisha kubadili mada. # inatupasa kumshukuru Mungu wakati wote Hii ni hali ya kukuza tukio au jambo la kawaida na kulifanya kuwa kubwa zaidi kuliko uhalisia wake. AT: "tunapaswa kuendelea kutoa shukrani" # tunapaswa Neno tunapaswa linamaanisha Paulo, Silwano, na Timotheo. # ndugu mpendwao na Bwana Hili linaweza kulezwa katika muundo tendaji. AT: "kwa kuwa ndugu Bwana anawapenda" # ndugu Hapa "ndugu" linamaanisha wakristo wenzangu, inajuisha wanaume na wanawake. AT: "ndugu wa kiume na wakike. # malimbuko kwa ajili ya wokovu "kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuamini katika Yesu na kuokolewa. # katika utakaso wa Roho "na kuwatenga ninyi kwa ajili ajili yake kwa njia ya Roho" # imani katika kweli "kuamini katika kweli" au "kuwa na ujasiri katika kweli" # kwa hiyo, ndugu, simameni imara Paulo anawaasa waumini waendelee kushikilia imani yao katika Yesu. # elewa tamaduni hapa "tamaduni" linamanisha kwa ukweli wa Kristo ambao Paulo na mitume walifundisha. Paulo anaongea nao kana kwamba wasomaji wake wangeweza kushika neno kwa mikono yao. # uliyofundishwa Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: tuliyowafundisha" # iwe kwa neno au kwa barua yetu unaeza kuelezea kwa timilifu zaidi habari. AT: "iwe kwa kile tulichowafundisha gerezani au kile tulichowandikieni kwa barua"