# Hamuyakumbuki...mambo haya? Paulo anatumiwa swali lisilohitaji kujibiwa kuwakumbusha mafundisho ambayo aliwafundisha awali alipokuwa nao. Hii inaweza kuelezewa kama. AT: " Ninauahakika kuwa mnakumbuka... haya mambo." # mambo haya Hii ina maanisha kurudi kwa Yesu, siku ya Bwana , na mtu wa kuasi. # atafunuliwa tu kwa wakati muafaka Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "Mungu atamfunua mtu wa uasi kwa muafaka" # siri ya kuasi Hii ina maanisha kwa siri ambayo Mungu mwenyewe anaifahamu. # anayemzuia kumzuia mtu ni kuwashikilia nyuma au hali kutowafanya kuendelea na kile wanachotaka kufanya.