# sitatoa chochote... nisichokigharimia "Nitatoa tu kile nilichokilipia" # shekeli hamsini "shekeli 50." Shekeli ni sawa na gramu 11. # badala ya nchi Neno "nchi" linawakilisha watu wa Israeli.