# neno la Yahwe likaja Inamaanisha Yahwe aliongea. "Yahwe aliongea ujumbe wake." # neno la Yahwe Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Yahwe. # mwonaji wa Daudi Hii inamaanisha Gadi alikuwa nabii wa ikulu.