# Walivuka "Yoabu na majemedari wengine wa jeshi walivuka" # Aroeri Huu ulikuwa mji katika ukingo wa Mto Arnoni. # Yazeri Huu ni mji huko Gadi. # Tahitimu Hodshi Huu waweza kuwa mji wa Kadehsi katika nchi ya Wahiti.