# Maelezo ya Ujumla Hii inaendeleza orodha ya mashujaa wa Daudi # shamba la dengu "katika shamba ambalo mtu alikuwa amepanda zao la dengu" # dengu mbegu ya bapa, inaliwa kama maharage # jeshi lilikimbia "jeshi la Waisraeli lilikimbia"