# Yeshbaali Hili ni jina la mwanamme. Matoleo mengine yanasomeka Yoshebu Bashebethi, Jashobeamu, Ishbaali, au Ishboshethi kwa hiyo nakala mbalimbali za kale zina tofauti hizi. # Mhakimoni Hili ni jina la kundi la watu. # Mia nane "800"