# Maelezo ya Ujumla Hii inahitimisha maneno ya mwisho ya Daudi. # Lakini yasiyofaa yote yatakuwa kama miiba na kutupwa mbali Hapa waovu wanalinganishwa na miba isiyofaa. # kwa maana haiwezekani kukusanywa kwa mikono "Kwa maana hakuna awezaye kuichukua kwa mikono yake bila kumwumiza" # Ni lazima yachomwe mahali yalipo "Yalipo" ndipo yanapochomewa." Hii inamaanisha kwamba Mungu atawaharibu waovu.