# Maelezo ya Ujumla Hii inaendeleza maneno ya mwisho ya Daudi # Hakika, je familia yangu haiko hivi mbele za Mungu? Hapa Daudi anakubaliana ya Mungu. # Je yeye hajafanya... njia? Daudi anakubari kwamba Mungu amefanya agano naye. # taratibu na hakika Hii inamaanisha agano la Mungu limeratibiwa vizuri na halitabadilika hivyo familia ya Daudi inaweza kuliamini. # Je yeye haongezi wokovu wangu... tamaa? Daudi anaaamini kwamba Mungu atamsaidia daima na kumfanya afanikiwe.