# Mwamba wangu atukuzwe. Mungu na ainuliwe Mistari hii ina maana inayofanana na imetumika kwa msisitizo. # mwamba wangu... mwamba Daudi anamlinganisha Yahwe na mwamba kusisitiza uwezo wake wa kuwalinda watu wake. # awawekaye watu chini yangu. Yeye awawekaye watu chini ya utawala wangu. # Uniweka huru mbali na adui zangu "Uliniokoa na adui zangu na kunipa heshima" # kutoka kwa watu wenye ghasia "kutoka kwao watakao kunidhuru"