# Walipokuwa "Walipokuwa Yoabu na watu wa Yuda" # mkanda mshipi wa ngozi au kitu kingine kilichotengenezwa kufunga vazi au silaha. # upanga ukadondoka upanga ukaanguka # upanga ukadondoka Yoabu aliuacha upanga uanguka ili kumpumbaza Amasa kwa kufikiri kwamba Yoabu hakuwa na silaha, hata amruhusu Yoabu kumkaribia.