# akapeleka kwa Sadoki na Abiathari Hii inamaanisha kwamba Daudi alipeleka mjumbe kwa Sadoki na Abiathari. # Kwa nini ninyi mmekuwa wa mwisho kumrudisha mfalme kwenye kasri lake? Swali hili linaulizwa kuwakemea wazee wa Yuda. Yaweza kuwa "mngekuwa wa kwanza kumrudisha mfalme, siyo watu wa Israeli." # kwa vile usemi wa Israeli wote unamtaka mfalme arudi Neno "ongea" ni nomino dhahania linaloweza kuelezwa kwa kitenzi "ongea" au "sema" # Kumrudisha mfalme katika kasiri lake Hapa kurejesha mamlaka ya mfalme yanazungumzwa kama vile kumrudisha katika makao yake. # Ninyi ni ndugu zangu, nyama na mfupa wangu Hapa mfalme anaeleza jinsi wanavyohusiana kwa kusema kwamba wana mwili na mfupa mmoja. Lakini pia maneno "ninyi ni" yaweza kuongezwa katika kirai cha pili. # Kwa nini basi mmekuwa wa mwisho kumrudisha mfalme? Hili ni swali la pili na pia ni karipia kwa wazee wa Yuda.